Uchaguzi 2020 Ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni watu wamepanga foleni ndefu wakisubiri kuchukua fomu

Hv watu wako serious kweli mtu unaenda kudump laki moja kwa kitu amabacho hata kikipata uwez wala maandalizi ya kikipata ujaiandaa duh upuuz huu.eti watu 60 watia Nia kumbe watu wanna helaza mchezomchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…