comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Wadau kuna taarifa kwamba ofisi ya Makao Makuu ya Hifadhi ya Taifa Serengeti mkoa wa Mara zilizopo ngome ikoma au Fort ikoma makao makuu zimeungua leo, chanzo bado kinachunguzwa
Chanzo cha habari ni- Leo Jumamosi.Ofisi Ya Makao Makuu Ya Hifadhi Ya Serengeti Yateketea Kwa Moto Leo Jumamosi. - MUUNGWANA BLOG
Chanzo cha habari ni- Leo Jumamosi.Ofisi Ya Makao Makuu Ya Hifadhi Ya Serengeti Yateketea Kwa Moto Leo Jumamosi. - MUUNGWANA BLOG