comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
.....
.......na mwaka huu mmechoma sana Hifadhi nani Mwikolojia huko
.....Duuh hata sijui mkuu ni cheo gani hicho kinashughulika na nini?
.....
.....kitengo kinacho hakikisha wanyama wote wanakula na kunywa bila kujali tofauti zao
....Wadau kuna taarifa kwamba ofisi za Hifadhi ya Taifa Serengeti mkoa wa Mara zilizopo ngome ikoma au Fort ikoma makao makuu zimeungua leo, chanzo bado kinachunguzwa
Endeleeni kuchoma nyaraka, Magufuli anakuja huko sio muda mrefu
Wanasema chanzo ni hitilafu ya umemenyie chomeni tutakuja kula nyamapori hizo