Ofisi za Kisasa za CCM Kujengwa Igunga

Ofisi za Kisasa za CCM Kujengwa Igunga

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
📍Igunga, Tabora

"Matarajio yetu ni kuwa na Ofisi za kisasa za Chama (CCM) kwenye Kata za Jimbo letu na baadae kwenye Matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni ndoto kubwa , yenye dhamira njema. Tunashukuru Mwenyezi Mungu mwelekeo ni mzuri na ujenzi umeanza na inshallah tutamaliza." - Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mbunge wa Jimbo la Igunga

"Jimbo la Igunga tumeamua kuishi kwenye ndoto kubwa ili tuweze kufanya makubwa. Ninawashukuru Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuendelea kujitoa katika kuhakikisha ndoto kubwa inafanikiwa. Kama Waswahili wanavyosema "akili kubwa, inawaza makubwa" - Nicholaus George Ngassa, Mbunge wa Jimbo la Igunga

Kazi Iendelee

Mhe. Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga

#KAZINAMAENDELEO
#KAZIIENDELEE
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.25.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.25.jpeg
    110.6 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.25(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.25(1).jpeg
    116.2 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.26.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.26.jpeg
    100.3 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.26(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.26(1).jpeg
    103.8 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.27.jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-27 at 12.16.27.jpeg
    118 KB · Views: 1
Hivi bado kuna watanzania wanahudhuria uzinduzi wa ujenzi wa ofisi za CCM kwa namna nchi inavyofeli kwa kasi?

Ama kweli nchii hii ina watu wa Hovyoooo
 
Back
Top Bottom