Ofisi za Madereva wa Serikali ni zipi?

Ni ndinga za boss wao.
 
Labda huko halmashauri ndio hawana ofisi.
Dereva ni mtumishi kwenye idara ya utawala na kila ofisi ya umma ina idara ya utawala.
Jibu: Dereva ofisi yake ni utawala
 
Kwanza ulitakiwa kufahamu anaye wapangia root ninan? Inatakiwa wakae kwenye ofisi ya T.O transport officer sema basi ndo hawataki.
Huko kwa T.O kuna nafasi ya madereva wote?
 
Tunatofautiana idara mkuu.. Sio idara zote hawana ofisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…