Inawezekana kuwasiliana na ofisi ya mwenyekiti au naibu yake wa Mahakama ya Ardhi huku Vuga (Mji Mkongwe, Unguja) kama haiwezekanj kwenda moja kwa moja pale?

Tafuta mwanasheria akusaidie. kubali gharama ndogo ili kupata haki kama ni yako kweli.
Mtakuja wote hatua kwa hatua..mda mchache tu unamaliza .ila inaonesha unatumia nguvu ya soda..