Dkt. Gwajima DWakuu salama huko? Naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za Msajili wa NGOs kwa hapa Dodoma. Kwa yeyote anayefahamu zilipo tafadhari naomba msaada huo haraka iwezekanavyo niko jijini hapa sasa hivi. Hata kama Dr. Gwajima atasoma ujumbe huu anielekeze! Asanteni sana.
Habari za asubuhi. Ziko Ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii zilizoko UDOM jengo moja na Ofisi za Wizara ya Afya ambapo, pia zimepakana na majengo ya Wizara ya Elimu, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maliasili.Wakuu salama huko? Naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za Msajili wa NGOs kwa hapa Dodoma. Kwa yeyote anayefahamu zilipo tafadhari naomba msaada huo haraka iwezekanavyo niko jijini hapa sasa hivi. Hata kama Dr. Gwajima atasoma ujumbe huu anielekeze! Asanteni sana.
Amina Mh. Waziri! Asante sana kwa maelekezo nilifanikiwa kufika na nikapata huduma kwa usahihi kabisa! Ubarikiwe pia Mh. Waziri kwa kazi nzuri!Habari za asubuhi. Ziko Ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii zilizoko UDOM jengo moja na Ofisi za Wizara ya Afya ambapo, pia zimepakana na majengo ya Wizara ya Elimu, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maliasili.
Karibu sana kutumia huduma zetu. Ubarikiwe na Mungu wa Mbinguni.[emoji1666][emoji1241]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
mhe: MUNGU wako akutunze unatuhudumia vizuri sana watanzania.Habari za asubuhi. Ziko Ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii zilizoko UDOM jengo moja na Ofisi za Wizara ya Afya ambapo, pia zimepakana na majengo ya Wizara ya Elimu, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maliasili.
Karibu sana kutumia huduma zetu. Ubarikiwe na Mungu wa Mbinguni.[emoji1666][emoji1241]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Aisee wewe mama nilikuonaga pale Jordan Morogoro uko sharp na consistent sana! Kiukweli sijawahi penda wala msifia yeyote toka CCM ila zipokee sifa zangu.Habari za asubuhi. Ziko Ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii zilizoko UDOM jengo moja na Ofisi za Wizara ya Afya ambapo, pia zimepakana na majengo ya Wizara ya Elimu, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maliasili.
Karibu sana kutumia huduma zetu. Ubarikiwe na Mungu wa Mbinguni.[emoji1666][emoji1241]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Anaonekana tu ana akili tofauti na wenzie.Mh. Waziri kwa kweli yuko vizuri sana!
Tulia utagongwa na guta, umepigwa nini? Kaa tafakari usipigwe tena.Wakuu salama huko? Naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za Msajili wa NGOs kwa hapa Dodoma. Kwa yeyote anayefahamu zilipo tafadhari naomba msaada huo haraka iwezekanavyo niko jijini hapa sasa hivi. Hata kama Dr. Gwajima atasoma ujumbe huu anielekeze! Asanteni sana.
[emoji1431] shukrani, karibu siku zote, karibuni watu wote.Amina Mh. Waziri! Asante sana kwa maelekezo nilifanikiwa kufika na nikapata huduma kwa usahihi kabisa! Ubarikiwe pia Mh. Waziri kwa kazi nzuri!
Mh Waziri Mungu akubariki sana uko sharp sana unajua kutufikia kwa wakati na kutujibu asante sanaHabari za asubuhi. Ziko Ofisi za Wizara ya Maendeleo ya Jamii zilizoko UDOM jengo moja na Ofisi za Wizara ya Afya ambapo, pia zimepakana na majengo ya Wizara ya Elimu, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maliasili.
Karibu sana kutumia huduma zetu. Ubarikiwe na Mungu wa Mbinguni.[emoji1666][emoji1241]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Daaah,Asante kwa kunichekesha kabla sijaingia kanisani,hao wenzake akili zao zipoje?[emoji28]Anaonekana tu ana akili tofauti na wenzie.