KATUNZI THE YOUNG Member Joined Jan 2, 2015 Posts 37 Reaction score 3 Mar 18, 2015 #1 tafadhari kwa wenyeji wa dar es salamu napenda kujua NACTE inapatikana sehemu gani
A ajira ngumu Member Joined Dec 21, 2014 Posts 64 Reaction score 4 Mar 18, 2015 #2 KATUNZI THE YOUNG said: tafadhari kwa wenyeji wa dar es salamu napenda kujua NACTE inapatikana sehemu gani Click to expand... Nenda mwenge kituo cha ITV ,zilipo ofis za redio one nyuma yake ndo zipo ofic za NACTE !kwa urahs ukishuka pale chukua boda boda watakufkishaa!!
KATUNZI THE YOUNG said: tafadhari kwa wenyeji wa dar es salamu napenda kujua NACTE inapatikana sehemu gani Click to expand... Nenda mwenge kituo cha ITV ,zilipo ofis za redio one nyuma yake ndo zipo ofic za NACTE !kwa urahs ukishuka pale chukua boda boda watakufkishaa!!
chitambikwa JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 3,941 Reaction score 902 Mar 18, 2015 #3 Barabara ya ITV kutoka Ali hassan Mwinyi Road , nenda nayo mpaka chuo cha TRA hapo kwa mbele utaona Bango za hizo ofisi
Barabara ya ITV kutoka Ali hassan Mwinyi Road , nenda nayo mpaka chuo cha TRA hapo kwa mbele utaona Bango za hizo ofisi