Ofisi za NIDA wilaya ya Ubungo zinapatikana wapi?

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
209
Reaction score
368
Ukiwa unahitaji kuanza maombi ya kitambulisho cha utaifa(NIDA) ndani ya wilaya ya ubungo, ofisi zao zinapatikana wapi ? Na hivi jmosi hua wanafungua ?
 
Ukiwa unahitaji kuanza maombi ya kitambulisho cha utaifa(NIDA) ndani ya wilaya ya ubungo, ofisi zao zinapatikana wapi ? Na hivi jmosi hua wanafungua ?
LUGURUNI
Morogoro rd, ukitokea Mbezi stand. Unashuka kituo kinaitwa Luguruni (kuna mataa) kisha utaingia kushoto moja kwa moja utaona ghorofa jeupe au uliza ofisi za Mkuu wa wilaya utaoneshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…