Msaidie sasa ziko wapi?Ubora wa mbao zao hauna mjadala ila bei zao sio haba.
Ila ofisi tegeta bunju sidhani.
Nenda Boko-Magegeni njia panda ya kwenda Mbweni wana ofisi na mbao utapataWakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju.
Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine ambao wanaziwekea rangi ya ukiri wakidai ni treated.
Kama wanazo naomba mtu anielekeze ni wapi.
Asante
Mkuu nishanunua toka jmos na kesho natandaza batiNenda Boko-Magegeni njia panda ya kwenda Mbweni wana ofisi na mbao utapata
Hata asante mkuu hakuna. Hongera lakiniMkuu nishanunua toka jmos na kesho natandaza bati
Ukimaliza kupaua naomba unipatie kazi ya Umeme(Wiring) katika nyumba yakoMkuu nishanunua toka jmos na kesho natandaza bati