NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 233
Mkono wa shoto kama watokea rose garden......Panda basi mpaka mwenge halafu chukua basi kwenda kariakoo au posta teremkia kituo cha sayansi. Fuata njia ya mikocheni kwenda kwa mwalimu nyerere baada ya Rose Garden Bar kwenye kona ile kali utaziona zipo mkono wa kulia kama unakwenda kwa mwalimu.
Umeambiwa kuelekea kwa Mwalimu Nyerere = the opposite side of COSTECH (SAYANSI). So Kibajaj atakufikishaDuh...nimegoogle hii mambo nikaletwa hapahapa nyumbani...shukrani sana wakuu! nadhani kibajaj kinanihusu maana hata huko kwa mwalimu Nyerere sipajui!Hizo ofisi ziko upande huo huo wa sayansi ama ni lazima kuvuka barabara!??