Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Rose garden kwa mbele kidogo unapita TEA unasonga kwa mbele utawapata. Rose garden ipo pale kama unatokea makumbusho unakuja MWENGE kuna yale mataa ya sayansi kulia kwako utaona kituo cha mafuta na kuna barabara inaelekea kulia kwako ifuate.
umesema barabara ya makumbusho kabla sijafika mwenge. kulia kwngu ndo kuna ofis za TCU si ndiyo au.
Jamani habarini za masiku humu JF.
Naomba kuulizia, ofisi za TCU zipo sehemu gani hapa Dar.
Jamani habarini za masiku humu JF.
Naomba kuulizia, ofisi za TCU zipo sehemu gani hapa Dar.
umesema barabara ya makumbusho kabla sijafika mwenge. kulia kwngu ndo kuna ofis za TCU si ndiyo au.