Ofisi za TRA kuwa wazi Jumamosi, 28 mwezi wa Septemba, 2024

Asanteni, suala la mtandao wenu kutokuwa stable ni tatizo hilo. mwanzoni mimi nilikuwa naweza kupata control number nikiwa kwangu kwenye mtandao lakin sahvi hata ukienda ofisini kwenu unaambiwa mtandao unasumbua mnataka tulipaje hizo kodi mnazodai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…