Ofisi za TRA kuwa wazi jumamosi Agosti 31, 2024

Ofisi za TRA kuwa wazi jumamosi Agosti 31, 2024

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
366
Reaction score
243
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni.

Hatua hii inatokana na ushauri na maoni ya wadau wa kodi wakiwemo walipakodi wetu. Hivyo TRA inawakaribisha walipakodi wote kwa ajili ya kupatiwa huduma mbalimbali za kikodi katika muda tajwa hapo juu.
 
Kibubu kimekauka. Hata hivyo tangu aingie madarakan Samia ametumia pesa nyingi kwenye masuala ya kitaifa.

2021. Anuani za makaz nchi nzima
2022. Sensa ya watu na makaz nchi nzima
2024. Uboreshaj Daftar la wapiga Kura na uchaguz SMT
2025. Uchaguz mkuu
 
Back
Top Bottom