TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
asante sana TRA kwa kujituma na kuonyesha kweli mmeamua kukusanya mapato ya serikali na kufikia malengo yenu. mzee elimu mbona wamepambana sana labda kama hufatilii maana nimekuta hadi tiktok wapo nikastuka nikasema ama kweli elimu ya tra hadi tiktok wapo.mbona mama alishasema na wameacha . mimi japo huwa sina nao urafiki vile ila kwenye ukweli ntasema tu swala la elimu wanajitahidi sana maana jana tu nimeona kuna jamaa pale chanel ten na leo karudia tbc akiongea kuhusu kodi.Siku hizi mmepoa sana. Elimu kwa mlipa kodi ni kama mmeamua kuisusa tu.
Endeleeni kutoa elimu kwa wananchi na muachane na njia za mabavu katika kukusanya kodi.
Tupo kuwapa ushirikiano kwa maendeleo ya nchi yetu.
Kumtunza Abdul & CoIshu sio kulipa Kodi Bali zinatumikaje .
Ila hao jamaa ni wangese mbona mgeni anasamehewa Kodi.Kwa nin vijana wenu mnao watuma kuja madukani wamenifanyia vurugu dukani kwangu kwa Nini ?
hela za masikini zinaliwa na wajanja wachache mno yaani wanafurahi watu kuwa wajinga wasome kwa kiswahili wakijua English watajifunza Mambo mengi watakuwa wajanja mbona wao watoto wao wanasoma za English. Kwa dunia tuliyopo English ni muhimu Kama chakula kilivyo. Ni lugha ya dunia. Tungejufunza kiswahili Kama tunavyokijuaKumtunza Abdul & Co
hela za masikini zinaliwa na wajanja wachache mno yaani wanafurahi watu kuwa wajinga wasome kwa kiswahili wakijua English watajifunza Mambo mengi watakuwa wajanja mbona wao watoto wao wanasoma za English. Kwa dunia tuliyopo English ni muhimu Kama chakula kilivyo. Ni lugha ya dunia. Tungejufunza kiswahili Kama tunavyokijua
Boss kwa sasa kwa mwezi May na April tulivuna kiasi gani kama Taifa?View attachment 3011185
Dar es Salaam, 07 Juni, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 08 Juni, 2024 na Jumapili tarehe 09 Juni, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 8:00 mchana.
Hatua hii inatokana na ushauri na maoni ya wadau wa kodi wakiwemo walipakodi wetu, hivyo TRA inawakaribisha walipakodi wote kwa ajili ya kupatiwa huduma mbalimbali za kikodi katika muda tajwa hapo juu.
"Serikali ya Wala rushwa haikusanyi Kodi, itabaki kukimbizana-kimbizana na vijitu vidogo vidogo humu mabarabarani tu basi!"Ishu sio kulipa Kodi Bali zinatumikaje .
Kuna jamaa alisaini mktaba wa bilioni 75 just to hire/kukodi software ya kufuatilia umeme kukatika kutokea India.
Mbona do world hawakutaka kulipa Kodi.
Na ni kwa nini kampuni za simu zinqbadilisha majina yao.
Yaani mapapa Wana watu wanawahashauri namna ya kukwepa Kodi.
Mpaka matumizi sahihi ya pesa za walipa Kodi zitakapotumika vizuri nadhani watu watafurahi kulipa Kodi.
Na Ile hali ya simu kupigwa bandarini kuwa huo ni mzigo wa mkubwa unaachiwa.
Why watu Fulani ndio wanaagiza mzigo Fulani wengine wakileta Kodi inakuwa juu kiasi kwamba Fulani Pekee ndiye awe main supplier or distributor anataka monopoly market.
🤣🤣Isije kuwa mnalipana posho kwa kufanya kazi siku za mapumziko