TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi za Majengo mnazokusanya kupitia kwenye Bill za Umeme, mnatakiwa kuwaamuru TANESCO kwamba Waonyeshe Mchanganuo wa Kodi hizo kwenye Stakabadhi zao zote za Ununuzi wa Umeme unaofanywa na wateja. Kwa sasa, dhana iliyopo kwa Wananchi wanunuzi wa Umeme wanahisi kwamba nyinyi TRA mnashirikiana na TANESCO katika kuwaibia fedha Wananchi kupitia Manunuzi ya Umeme.
Ndg John hii kodi mbona haipo tena TRA wamerudishiwa halmashauri nadhani toka mwaka huu mwanzoni au mwaka jana mwishoniKodi za Majengo mnazokusanya kupitia kwenye Bill za Umeme, mnatakiwa kuwaamuru TANESCO kwamba Waonyeshe Mchanganuo wa Kodi hizo kwenye Stakabadhi zao zote za Ununuzi wa Umeme unaofanywa na wateja. Kwa sasa, dhana iliyopo kwa Wananchi wanunuzi wa Umeme wanahisi kwamba nyinyi TRA mnashirikiana na TANESCO katika kuwaibia fedha Wananchi kupitia Manunuzi ya Umeme.
wapo muda tu huku zaidi ya mwaka nimewaona naona wamejua kwenda na wakati angalau wapitie wadau waoneKumbe mpo huku
Waweke hata pipi za kifuaTra. Wekeni hata water dispenser kwenye ofisi zenu walipa kodi wapate hata maji ya kunywa! Nyie kazi yenu kutukamua tu! 😀😀😀
Watanisaidia huku natumainiwapo muda tu huku zaidi ya mwaka nimewaona naona wamejua kwenda na wakati angalau wapitie wadau waone
Wauza maji tupo kila jirani na ofisi ila mu wabahili hamnunuiTra. Wekeni hata water dispenser kwenye ofisi zenu walipa kodi wapate hata maji ya kunywa! Nyie kazi yenu kutukamua tu! 😀😀😀