Ofisi za TRA kuwa wazi nchi nzima tarehe 23 na 24 Machi, 2024

Kodi za Majengo mnazokusanya kupitia kwenye Bill za Umeme, mnatakiwa kuwaamuru TANESCO kwamba Waonyeshe Mchanganuo wa Kodi hizo kwenye Stakabadhi zao zote za Ununuzi wa Umeme unaofanywa na wateja. Kwa sasa, dhana iliyopo kwa Wananchi wanunuzi wa Umeme wanahisi kwamba nyinyi TRA mnashirikiana na TANESCO katika kuwaibia fedha Wananchi kupitia Manunuzi ya Umeme.
 
Ndg John hii kodi mbona haipo tena TRA wamerudishiwa halmashauri nadhani toka mwaka huu mwanzoni au mwaka jana mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…