HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini,
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ofisi za serikali hasa naadhi ua ofisi za TRA kupokea barua na kukataa kugonga mhuri wa received kwenye barua ya pili anayobaki nayo mteja kwaajili ya kumbukumbu zake kwa madai wamekatazwa kufanya hivyo hadi mteja aje na dispatch book.
Hivi hii inaboresha nini ktk utendaji mbovu wa TRA inamaana kila myeja wa TRA anatakiwa kununua dispatch book ndiyo ahudumiwe na TRA na kama ni hivyo kwanini naadhi ya ofisi za serikali wanapokea na kugonga mhuri au kisaidi juu ya barua anayobaki nayo mteja??
Shida iko wapi iwapo kusaini au kugonga mhuri kwenye barua husika hakubadirishi maana iliyomo kwenye barua kama siyo kuwaingiza gharama wateja za kununua dispatch kwa barua moja tu??