Ofisi za umma zisizo na eneo la wageni kukaa wakisubiri huduma ina maana gani?

Ofisi za umma zisizo na eneo la wageni kukaa wakisubiri huduma ina maana gani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Ni jambo la hovyo sana unafika ofisi za umma kuhudumiwa unakuta hakuna mahali pa raia/wateja kukaa kusubiria zamu yao kuhudumiwa, watu wamezagaa tu kwenye koridor kama nzi.

Ni kero zaidi ukizingatia watumishi wengi utoaji huduma wao ni wa taratibu sana(slow people) na bado huwa wana muda mwingi wa chai, kula mchana na umbea wa ofisini wa hapa na pale wakati watu wanasubiria huduma.
 
Back
Top Bottom