Ofisi za used pikipiki mbona zinaongezeka huku matukio yanaongezeka?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Nilikuwa naangalia video za watu waliokamatwa kwa wizi wa pikipiki leo na juzi nikaona pikipiki nyingine wenye mali wamezikamatia maduka ya used

Nikawaza hivi kuna usalama na zile pikipiki ukinunua? Vijana wamebanwa kidogo tu huko Mbeya wakamchora muuza pikipiki used

Dar soko la used limetanuka sana na sasa wanadili na fb na insta kama hawana akili nzuri

Mwenye ujuzi wa hizi mambo, ile pikipiki ziko safe kweli tusije ng'ang'aniwa na huu uzee...loh ukapewa kesi ya mafa dereva marehemu kazikwa Tunduma aisee

Mungu apitishie mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…