Ofisi za Zantel zinapatikana wapi Mwanza?

Ofisi za Zantel zinapatikana wapi Mwanza?

Reginald L. Ishala

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2011
Posts
3,810
Reaction score
6,789
Mwenye kufahamu ofisi za Zantel kwa hapa Mwanza anifahamishe.

Kabla ya kuhamishwa zamani ilikuwa pale mataa mkabala na jengo la BOT.

Nina Modem nahitaji wanipatie huduma fulani.

Lakini pia nahitaji wanipatie special number.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Mie natafuta ofisi za ACT wazalendo
Mkuu NYANYADO Unatafuta ofisi zao kwa ngazi ipi?
Tawi, Kata, Wilaya au kwa Ngazi ya Mkoa?

Uko mkoa upi wewe?

Kwa Mwanza, Kuna za pale Mabatini karibu na orange tree hotel.

Kwa Kwa kata ya Mirongo, Ziko pale Ngokozi-Uhuru Dampo.
 
Mkuu, Na laini zao zinazosajiliwa mitaani zinatokea wapi?
Ilo la mawakala kupata laini sio issue sana,inawezekana wakawa wanatumiwa laini kutoka ofisi za Zantel za hapa Dar.
Kwa Mwanza laini za Zantel kuna wakala mitaa wa Uhuru Dampo au Ngokoz,yupo jamaa mmoja mrefu mweusi anaitwa Mustapha kama sijakosea jina lake,miaka kama mitatu nyuma niliwai kupata huduma kutoka kwake ya ku-renew laini yangu.
 
Shukrani sana mkuu NAWATAFUNA
 
Back
Top Bottom