Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Just call customer service ya zantel bobMwenye kufahamu ofisi za Zantel kwa hapa Mwanza anifahamishe.
Kabla ya kuhamishwa zamani ilikuwa pale mataa mkabala na jengo la BOT...
Sina laini ya Zantel mkuuJust call customer service ya zantel bob
Ooh hapo Sina msaada boss labda Google customer care ZantelSina laini ya Zantel mkuu
Uhuru dampo au dampo la Soko kuu la zamani?Zantel Mwanza hawana ofisi, bali wana wakala. Wakala anapatikana huko Dampo karibu na stendi.
Hakuna ofisiMwenye kufahamu ofisi za Zantel kwa hapa Mwanza anifahamishe.
Kabla ya kuhamishwa zamani ilikuwa pale mataa mkabala na jengo la BOT.
Nina Modem nahitaji wanipatie huduma fulani.
Lakini pia nahitaji wanipatie special number.
Natanguliza shukrani wakuu.
Lakini mkuu bado naona mtaani laini za Zantel zinasajiliwa.Washafunga operations Bara
Mkuu, Na laini zao zinazosajiliwa mitaani zinatokea wapi?Hakuna ofisi
NdioUhuru dampo au dampo la Soko kuu la zamani?
Ilo la mawakala kupata laini sio issue sana,inawezekana wakawa wanatumiwa laini kutoka ofisi za Zantel za hapa Dar.Mkuu, Na laini zao zinazosajiliwa mitaani zinatokea wapi?
Shukrani sana mkuu NAWATAFUNAIlo la mawakala kupata laini sio issue sana,inawezekana wakawa wanatumiwa laini kutoka ofisi za Zantel za hapa Dar.
Kwa Mwanza laini za Zantel kuna wakala mitaa wa Uhuru Dampo au Ngokoz,yupo jamaa mmoja mrefu mweusi anaitwa Mustapha kama sijakosea jina lake,miaka kama mitatu nyuma niliwai kupata huduma kutoka kwake ya ku-renew laini yangu.
Nyegezi hapana mkuuNyegezi