Ofisini kwa bosi..bafu na kitanda vya nini?

s.fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2009
Posts
663
Reaction score
117
Habari wandugu..
Mwenzenu smtimz kuna mambo huwa hayaingii akilini..hizi ofisi za vibosile zilizo na kila kitu mpaka self contained room za nini? Zile two hrs za kwenda lunch ndio unaona eti mgeni kaja kumuona mkuu..ngoma fasta fasta ndio mtindo

weekend njema wakuu
 
ha ha ha ha haaaaaaaaaaa,nimeiona hiyo...!!!:coffee:
 
Mkuu tuache masihara, hiyo ofisi ya bosi yenye bafu na kitanda iko wapi???
 
Boss usafi ni muhimu kwahiyo what is the issue kama akiwa na bafu na kitanda. Halafu wateja wengne wanahitaji huduma zote kwahiyo ili kuokoa muda lazima bafu na kitanda vile ofisini.
 
Bafu kwa ajili ya kuogea.
Kitanda kwa ajili ya mapumziko.
 
Ofisini kwa bosi..bafu na kitanda vya nini?

1 bafu kwa ajili ya kuoga unajua sometimes jasho
2 umesahau lazima kiwepo na choo kwa ajili ya kudounload baada ya lunch mkuu najua unajua
3 kitanda kwa ajili ya kupumzika baada ya lunch ucpendi vzuri 2 hrs lazima m2 upumzike ukizingatia om ni mbali na ofisi

hope umejua kazi ya hivyo vitu mkuu. wikiendi njema
 
Mkuu tuache masihara, hiyo ofisi ya bosi yenye bafu na kitanda iko wapi???

mkuu jaribu kufanya uchunguzi..vibosile wale mapapa wenyewe acha hawa wa kawaida
 
Tobah cjawahi kuona ila hiyo ofosi funga kazi bosi ni wa kike au wa kiume?
 
Kuna digirii za chupi na
kuna vyeo vya chupi.

Inashangaza nini kuona kuna maboss wa chupi??

Nimefanya kazi 10 years Dar kwenye ofisi yenye viyoyzi 24/7 mtu hutoki jasho hata kidogo.
Siongelei kijiofisi uchochoroni? Naongelea jengo la ghorofa 7 full Air conditioned na mama ntilie ndani kwa ndani.

Vitanda ofisini ni ishara ya kuvua watu kaptula zao za ndani na kusimamisha mjengo kwa kutumia wadhfa na nafasi yako.
 
siku inaweza kutokea emergency kazini akatakiwa kufanya kazi mpaka usiku mkubwa.sasa hapo badala ya kurudi nyumbani kwa vile asubuhi tena anatakiwa kazini huwa wanapumzika humo.
 
kazi na dawa.bora huyo analeta mgeni wa lunch hours kumtembelea wengine wanamalizana humo kwa humo ofisi moja
 
mkuu jaribu kufanya uchunguzi..vibosile wale mapapa wenyewe acha hawa wa kawaida
mimi pia nazijua kma mbili hivi ila ukitaja humu hatukawii kufungiwa.ndo kimjinimjini tena kazi kwenu mliooa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…