Mkuu wengine unakuta mtu anatoka ofisini late direct kwenda kwenye party au mkutano hakuna muda wa kurudi home, na wengine huwa wanafikilia vizuri wakiwa wamelala na wengine siesta (usingizi wa mchana ni muhimu kwao) je watakuwa wanatoka kazini na kwenda home kulala mchana na kurudi kila siku?