Ofsa nimetia timu nielekezeni mazingira ya humu!

Ofsa nimetia timu nielekezeni mazingira ya humu!

ofsa

Member
Joined
Jul 5, 2020
Posts
21
Reaction score
68
Ofsa kama ofsa leo nimekuwa mwanachama miongoni mwenu hivyo basi ndugu wajumbe wa idara zote humu mnielekeze namna bora ya kuishi kwa kheri humu.

Lengo kubwa ni kujifunza, kuelimika na kuburudika pamoja na kushea mambo kadha wa kadha juu ya maisha yetu ya kila siku hivyo naahidi kushirikiana nanyi kwa moyo mmoja

Ndugu wajumbe mnipokee tafadhali

Ofsa kama ofsa , ofsa wa maofsa asanteni sana
 
Ofsa kama ofsa leo nimekuwa mwanachama miongoni mwenu hivyo basi ndugu wajumbe wa idara zote humu mnielekeze namna bora ya kuishi kwa kheri humu. Lengo kubwa ni kujifunza, kuelimika na kuburudika pamoja na kushea mambo kadha wa kadha juu ya maisha yetu ya kila siku hivyo naahidi kushirikiana nanyi kwa moyo mmoja



Ndugu wajumbe mnipokee tafadhali


Ofsa kama ofsa , ofsa wa maofsa asanteni sana
Tuma elfu 20,000/= fee ya kua member expert.
 
Sasa mbona hujaweka picha yako tukoment au like,au ndo unatumia mitandao ya kijamii kwa Mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom