Ofsa naomba kitengo basiThanks sana mama ofsa
[emoji23][emoji23][emoji23]Humu ni undava undava tu! Jipange.
Joto la mwili lipo normal
Kuna jamaa anaitwa Kiduku Lilo ukiwa na shida ndogo ndogo hata kubwa mcheki anakusaidiaNimeamua ofsa nielekeze njia sahihi za kufuata nisije potea ofsa
Duuh! Mpaka unani-direct kwake maana yake ni kwamba atakua ni ofsa mkubwa sana! Asante sana ofsa kwa maelekezoKuna jamaa anaitwa Kiduku Lilo ukiwa na shida ndogo ndogo hata kubwa mcheki anakusaidia