Ogopa kama ukoma wanawake wanaokuambia fulani (Rafiki yako) kanitongoza

Bro yamekukuta nini?
Mwanamke lazima atengeneze trust kwako kwamba yeye ana msimamo.
Then analiwa na huyo huyo,
Hiyo ya kujenga Trust huwa wanatumia kauli flani kuwa...

"Af wasiwasi wako tu mie wala sina mpango nae kabisa"

"We are just friends bana...none serious"

"Tatizo lako hujiamini jeffrey ebu kuwa serious sasa nampeleka wapi mtu kama huyu"


Kama hizo kauli zinaambatana na hasira ya discomfort...i wish you sorry in advance.
 
Ungemtomba asingekuja kuleta ujinga kama huo tena
 
Sure....😂
 
Ungemtia nyama tu huyo farasi😁 asingekuwa na jeuri hata ya kukuzungumzia.
 
Ulichukua hatua gani?
Nakumbuka ghafla tu alianza tabia ya kunipigia simu saa tano usiku na nikipokea maongezi siyaelewi..nikamsoma nilivyoelewa nia yake nikampiga marufuku kunipigia usiku wala kunipigia simu bila sababu maalumu.

Rafiki yangu sasa sikumwambia chochote ila baadae sijui alihisi nini akaniambia "Hivi mfano siku flani (boyfriend wake) akikutongoza utafanya nini ? "

Nilishtuka nikajibaraguza nikamwambia hawez fanya hivyo kwanini anamuwazia mabaya? Na ikitokea akanitongoza nitakataa na nitakwambia. nikamdanganya.

Mpaka leo wameshaachana miaka kadhaa imepita sijawahi mwambia.
 
Ulifanya vyema.
 
Mwanamke kutongozwa sio jambo geni sana na sioni faida ya kuanza kusimulia kwamba umetongozwa, ni ulimbukeni tu

Cha msingi ni ujitambue na uepuke vishawishi au usitoe mwanya wa vishawishi especially unapokua tayari upo kwenye mahusiano au ndoa
 
Mwanamke kutongozwa sio jambo geni sana na sioni faida ya kuanza kusimulia kwamba umetongozwa, ni ulimbukeni tu

Cha msingi ni ujitambue na uepuke vishawishi au usitoe mwanya wa vishawishi especially unapokua tayari upo kwenye mahusiano au ndoa
Sure.
 
Mkuu umemaliza kila kitu, hongera sana sina cha kujazia mana 2016 ilinitoka picha kama hiyo kabisa. Sitasahau kamwe.

Wanawake wa aina hii ukishagundua usijipe moyo kuwa atabadilika. Acha kabisa mana ni 🔥 unacheza nao.

Heb kunywa 🍺 2 hapo kwanza mana umenikosha sana
 
Sure mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…