Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
š¤£š¤£š¤£š eti ana miaka 33 wakati kwakweli ni kama ajuza wa miaka 90Leo pitapita yangu nimekutana na sijui ni muweke steji hipi kama zile steji tunazopitia.
Nimepiga hesabu zangu kwa nini maharage yameshindwa kuchacha serikalini ni Kawa na jiuliza kwa kundi kubwa la Sasa.
Wengi wetu steji tulizofikia kukubari kuwa we ushatoka huko ni ngumu,umri nao watu wanaomba kusingukuwa na mwaka sijui nani aliyegundua mwaka wa kuzaliwa.
Mi nacho jiuliza miaka 2006 wema alipata umiss akiwa na miaka 16.
Je mashindano ya umiss yalikuwa yanafanywa chini umri mdogo.
Kama wanasheria tunaweza kuwafungulia kesi waandaji wa miss Tanzania .
Waziri Dorot gwajima tunaomba msaada wa umri huyuView attachment 2765867
USA ilishakuwa kesi hii.Kaka ndo kwanza 6:00 we ushazunguka sana[emoji15][emoji15][emoji15]
Makaburini mbali umri wa ccm na wanachama wake pamoja na viongoziWatu wanaomba umri mrefu lakini hawataki kuzeeka.......yaani ni maajabu kweli kweli.........
Umri mrefu na afya njema ni zawadi ambayo Mungu anawapatia watu wachache.........ukitaka kujua thamani ya jambo hilo nenda katazame makaburi
Jina be lako la ID tu limekaa wale wadada vigodoro mume anatoka kwa shetaniUmri wake una kuhusu nini wewe? Hata akiwa na miaka kumi we inakuhusu nini?
We fala sema umri wa wema unakuhusu nini? Fuatilia maisha yako, achana na mambo yasiyokuhusu nyau weweJina be lako la ID tu limekaa wale wadada vigodoro mume anatoka kwa shetani
Hapa umefatilia ya nani Sasa [emoji23]We fala sema umri wa wema unakuhusu nini? Fuatilia maisha yako, achana na mambo yasiyokuhusu nyau wewe
Tulihudhuria mazishi,Makaburini Shekh akasema sisi ni viumbe WA kushangaza.....ukitaka kujua thamani ya jambo hilo nenda katazame makaburi