Ogopa sana watu wanaovaa hivi

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Ukiona mtu kaja ofisini kwako kavaa hivi wewe mhudumie tu aondoke maana hawa jamaa akili zao huwa kama tayali zimeshajilesi; wabishi sana!
 
Sasa si wazi kuwa akili zao haziko sawa....
 
Huyo wa Kwanza Bonge mbona anafanana na huyo Jirani yake hapo??
 
Huyo Bonge nasikia alishafariki alikuwa anapatikana sana maeneo ya veterinary pale kwenye petrol station zinakopaki Tax.
 
hawa na wavaa milegezo kwangu wote ni wahuni tu wanaofanana,maana suruali inatakiwa ivaliwe kiunoni,full stop!
 
Huyo mwenye mikanda miwili , sasa hiyo suruali au rubega.
 
Sisi ofsn kwetu haingii w a kuvaa kituko hivi ataishia pale mapokezi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…