Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Wewe Kongosho, mi naomba ushauri halafu unaleta utani. Nadhani kunahaja ya kulizungumzia pia hili maana mimi na mpenzi wangu tumekaa tukatafakari sana, je Lulu asingepigiwa simu si Kanumba tungekuwa naye. Lakini hiyo simu iliyopigwa ndiyo iliyozima nuru ya mwanga uliokuwa unang'aa ndani na nje ya Tanzania.lazima na mie nitoke na uzi wa Kanumba dah!
Mimi nasema mzizi wa chanzo.Wengine wanakufa kwa sababu hawana simu, utawaambiaje nao?
Kuna mtu kaanzisha uzi unaitwa :Jack Daniel...lazima na mie nitoke na uzi wa Kanumba dah!
lazima na mie nitoke na uzi wa Kanumba dah!
Kwa kuwa chanzo cha mgogoro uliopelekea Kanumba kugombana na mpenzi wake Lulu ni simu basi:
- Simu ni hatari sana zimetuondolea kijana mahiri sana
- Tuwe makini ktk matumizi
Ila mimi na mpenzi wangu tunafikiri kuacha kutumia simu!
Tunaomba ushauri.
Nadhani Lulu na Kanumba hawakusoma zile threads (bad taste joke)Yale yale ya simu na privacy.