jamani imeisha vipi? kwani season 4 si ina epsode 22,imekuwaje inaishia epsode ya 21?,sijaweza kuingalia bado ndio nai-download ipo 79% dah sijui nitapata wapi show kama PB maana ilinishika kisawa sawa.Yeah Belinda maana kama SCOFIELD kafa sasa hapo sidhani kama kuna kitu kitaendelea. Yeah, hopefuly directa atakuja na kitu kizuri zaidi
Naomba link ya kudownload au kama m2 ana episode 21 anamuvusishie jameni