Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu na waarabu si watu wa kuaminika. Eti hawa ndiyo waliowaleteeni dini wakati ni ukoloni mtupu! Hiyo ndiyo Marekani taifa la kigaidi.Pichani ni tukio lililotokea huko nchini Marekani Polisi wa Ohio wamemkamata Padre Fidelis Moscinski CFR mapema leo kwa kosa la kusali na kukemea utoaji wa mimba.
View attachment 1811931
GOP ndio wanaruhusu au katiba ya marekani ndio inaruhusu umiliki wa bunduki??..Sikiliza GOP watakavyopiga kelele kuhusu kukamatwa kwa huyu. Wanadai hawataki kuona watoto wanauawa wakati huo huo wanaruhusu bunduki zenye uwezo mkubwa kupatikana kirahisi kama vile unanunua pipi na matokeo yake zimesababisha mauaji mengi ya kutisha ya watoto na watu wazima.
Ukigusa maslahi ya modern day Liberals hakuna uhuru tena,...... ule uhuru wa kuabudu tunaoambiwa umetamalaki Marekani uko wapi? Ule uhuru wa kueleza hisia zako u wapi Marekani? Tena jambo lenyewe kupinga ukatili dhidi ya wasioweza kujitetea! Wasiozaliwa bado!
Dini gani hizo? ndio hizi hizi ambazo zipo duniani kote au kuna dini zilizoletwa afrika tu pekee?Wazungu na waarabu si watu wa kuaminika. Eti hawa ndiyo waliowaleteeni dini wakati ni ukoloni mtupu! Hiyo ndiyo Marekani taifa la kigaidi.