Jordan jacob Member Joined May 28, 2016 Posts 26 Reaction score 4 Jun 26, 2016 #1 Je ni muhimu kwa gari inayokula oil baada ya muda Fulani kuwekewa STP,na je inasaidia kukata tatizo la kula oil kwa gari iliyofungwa ring mpya?msaada wenu wakuu
Je ni muhimu kwa gari inayokula oil baada ya muda Fulani kuwekewa STP,na je inasaidia kukata tatizo la kula oil kwa gari iliyofungwa ring mpya?msaada wenu wakuu