Oil and Gas: Kenya’s pipe dream

Total bought Maersk to buy time with Lokichar-Lamu pipeline construction undertakings as they will be sitting in the Boardroom meetings. No sensible company is to finance that Ubuyu business.
Hizi conspiracy theories zako zimekuwa tangu 2010 nabii wa uongo. Ok so what is the next conspiracy are you planning to tell us in the next 5years?
 
Jubilee miaka kumi na Tano Tena chukua kitanzi kaka.
 
Which investor goes into a mine to do the mining physically? Ni Mtanzania wa kawaida anatengenezewa hiyo biometric ID asiwaibe wazungu(never heard of a Tz mining company) ama mnageuza Viwonder to viwanda?
Wewe kama Invenstor kwanza Chukua Mrija Usaidie uhuru na bibiyake kufyonza mafuta angalau ndege yake ipate kakitu
 
Which investor goes into a mine to do the mining physically? Ni Mtanzania wa kawaida anatengenezewa hiyo biometric ID asiwaibe wazungu(never heard of a Tz mining company) ama mnageuza Viwonder to viwanda?
Hao wawekezaji tumewajengea ukuta ili wasidanganye kuwa tanzanite inayouzwa Kenya ni wezi wanachimba Na kuitolosha
 
Kenya ranked as 'failed state'
Kitanzi hiki hapa[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Hao wawekezaji tumewajengea ukuta ili wasidanganye kuwa tanzanite inayouzwa Kenya ni wezi wanachimba Na kuitolosha
Nasikia mumeua mtoto /mwanafunzi Kuna polisi alifyatua risasi ambayo ilimlenga mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT, Aqulina Akwilini risasi iliyomlenga kifuani na kupoteza maisha
joto la jiwe, Annael redeemer Geza Ulole mulisaaa Mwanzi mkorinto tutafikatu
 
Ni kisa cha kusikitisha sana, risasi ilipiga bus la daladal lilikua linapita na kumpata huyo bint alikuwa ndani ya bus na kujeruhi wengine, ni uzembe uliofanywa na askari, tayari askari sita wanashikiliwa kwa mahojiano. Hiyo ndiyo tofauti kati ya Kenya na Tanzania, Kenya polisi wanaua with impunity, Tanzania wanawajibishwa hata kama ni kwa bahati mbaya kama hili.
 
Leta link ya polisi kukamatwa punguza longolongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…