Oil and gas training

Jamani ee hata me nashindwa kuelewa kama ukiwa na diploma unaweza kuajiriwa? na je ili uweze kupata bachelor degree ninatakiwa nisome combi gan?
 
Umekuja vzr sn mchepuko,Nami nahitaji km college au university inayotoa hyo kitu
 
Nenda mineral resource institute Dodoma wana cert,tech cert na diploma ya hiyo kitu
 
Huwezi kuwa na certificate ukafanya kazi kwenye oil and gas.
 
Pale DIT wameanzisha Advances diploma ya Oil and Gas kuanzia mwaka huu watachukua jaribu ku apply kama una Diploma
 
Ili uchukue dgree comb n PCM, CBG, au PCB lkn pia pale MRI, Dodoma wanatoa diploma ya petroleum geoscience ila sijajua ajira inakuaje baada ya Kuhtm, yeyote mwenye uelewa juu ya hil naomba anambie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…