Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Salaam,
Napenda kujulishwa kama kuna garage ambayo ina fundi mwenye kujua namna ya kuweka “oil catch can” kwenye gari za diesel zenye turbocharger.
Oil catch can inasaidia kupunguza zile sludges kwenye pipes, hoses na intake manifold.
Naulizia garage na fundi kwenye mikoa ya Dar, Arusha, Mwanza na Dodoma. Kwa anayefahamu garage na fundi husika, tafadhali weka mawasiliano yake au muelekeo wa anakopatikana.
Asante.