,,Oil exports boom" ya Kenya iliishia wapi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kuna kipindi tulikuwa bombarded na ,,good news" kutoka Kenya kwamba wameanza sasa kuuza mafuta nje, na Kenya sasa ni an oil exporting nation, ningependa kujua maendeleo yake, imefikia wapi kwani sisikii tena kuhusu Kenya exporting oil, ...
 
Nikiangaria haya yanayofanyika Africa,huwa naamini democrasia ya magharibi imeshindwa,tunaitaji utawala kama wa Urusi,China,Iran

Teh teh teh tihiii
de Soto says that in his work "Misery of Capital. How capitalism triumphs in West but failed every where." for your case, Afrika does not need the western democracy. and if you refer to the philosophy of law. we need the law (or anything) which does not diverge our culture, norms and taboos. we Afrikans have tge problem of allowing external interference. which actually hold us back. china should be our bench mark. they never entertained to be told what to do. though they change according to their needs.
 
unajichenga na kujifunga mwenyewe which other eastafrican nation is exporting or start exporting before Kenya's 2019?
Mliandika kwamba mumeanza Ku export, kumbuka Uhuru alikwenda kushuhudia malori ya kwanza yaliyobeba crude oil yakielekea Mombasa, hapo ndipo mlipoanza kujisifia kama kawaida yenu, baada ya wiki tatu, hilo zoezi likasimamishwa, mkahamisha goli hadi 2019.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…