Oil kuvujia kwenye aircleaner ya pikipiki bm 150

angalia kiasi cha oil unachoweka, yawezekana unaweka oil nyingi zaid ya 1lt

Ukizidisha kiwango cha oil kwenye boxer, inakua inaipunguzwa kupitia breather tube kuelekea kwenye ile air cleaner compartment
 
Ok pengine mafundi labda hawamwagi yote ....ile chafu inakuwa inabaki

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…