Wadau amani iwe kwenu.
Nina swali dogo tu ningependa kupata ufafanuzi ili kuongeza uelewa. Ni kwanini Oil Pressure Light inakuwa on kwa dakika 2 hadi 3 wakati wa kuwasha gari hasa gari inapokuwa imezimwa kwa zaidi ya masaa matatu na kuendelea?...
😂😂😂😂😂 SAE40 kitamboKutoka kwenye maelezo yako mwenyewe inaonesha kwamba oil iliyopo ni nzito kuflow na inakuwa nzito zaidi engine ikiwa ya baridi. Inaweza kusababishwa na:..
Mimi siomtaalam wa magari ila taa inayowaka ni ya blue kwenye lialama kama kibirika. Na oil ninayotumia ni Castrol 5W30.Gari gani? Iyo taa ni rangi gani? Oil pressure au kitaa cha kibirika cha oil? Maana kile kina maana nyingi sana sko pressure tu.
Kwanza me nadhani cheki oil level. Kama iko poa, nikumbushe service yako ya mwisho ilikua lini?...
Mimi sio mtaalam wa magari ila taa inayowaka ni ya blue kwenye lialama kama kibirika. Na oil ninayotumia ni Castrol 5W30.Kutoka kwenye maelezo yako mwenyewe inaonesha kwamba oil iliyopo ni nzito kuflow na inakuwa nzito zaidi engine ikiwa ya baridi. Inaweza kusababishwa na:
1. Oil inaweza kuwa imechoka kama hujafanya service muda mrefu...
Mimi sio mtaalam wa magari ila taa inayowaka ni ya blue kwenye lialama kama kibirika. Na oil ninayotumia ni Castrol 5W30.
Pengine nimekosea kueleza suala husika.
Taa ya temprecha inawaka injini ikiwa imepoa mfano asubuhi ukiwasha gari inawaka kwa mda then inazima haina shida hyo. Kisanga iwake nyekunduTaa hiyo mkuu
Asante sana mkuu.Taa ya temprecha inawaka injini ikiwa imepoa mfano asubuhi ukiwasha gari inawaka kwa mda then inazima haina shida hyo. Kisanga iwake nyekundu
Hua haichukui dk 3 inakua imezima ni vzr uache izime kwanzaAsante sana mkuu.
Ningependa kufahamu kama kuna athari zozote kama ukianza kuendesha kabla ya kuzima. Japo sijawahi kufanya hivyo.
Aisee ina maana mpaka Leo hujui taa za Kwenye gari yako zinawakilisha kitu gani...hiyo ni hatari Sana kwasabb kama alama ya taa ya temperature na oil huzijui basi hiyo ni shida na pengine sijui umeanza lini kuendesha Magari Ila Kwa mtu yeyote makini hata kama gari ina shida Fulani atagundua mapema.Taa hiyo mkuu
aisee...[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]Kutoka kwenye maelezo yako mwenyewe inaonesha kwamba oil iliyopo ni nzito kuflow na inakuwa nzito zaidi engine ikiwa ya baridi. Inaweza kusababishwa na:
1. Oil inaweza kuwa imechoka kama hujafanya service muda mrefu.
2. Ulifanya service ukawekewa oil nzito kuliko uwezo wa engine yako. Yale mambo kama ya Extrovert au Boeing 747 ya hapo weka SAE40[emoji16][emoji16][emoji16]
Hii mzee si taa ya oil...ni taa ya joto la engine...Taa hiyo mkuu
Kutokujua sio shida mkuu.Aisee ina maana mpaka Leo hujui taa za Kwenye gari yako zinawakilisha kitu gani...hiyo ni hatari Sana kwasabb kama alama ya taa ya temperature na oil huzijui basi hiyo ni shida na pengine sijui umeanza lini kuendesha Magari Ila Kwa mtu yeyote makini hata kama gari ina shida Fulani atagundua mapema.
Ni aibu Sana kama mpaka Leo hujui temperature ikipanda au ikishuka usijue kitu