Oil Tanker loses Control and Crushes into 5 cars before Exploding in Naivasha, 40 feared Dead

Poleni sana Wa-KE, lakini msichukulie hii ajali kijuu juu sana. Magaidi wana kila mbinu za kutekeleza malengo yao. Mnapaswa kwenda deep zaidi katika uchunguzi wenu. Gaidi si lazima atumie bunduki au bomu, anaweza kutumia chochote kitakachofanikisha malengo yake. Saa saba usiku oil tanker ni jambo la kushangaza.
 
Poleni sana Wa-KE.
 
He has a point Samuel999, even in developed countries, we mustn't rule out anything, people are desperate to create chaos/sabotage!....look at his thoughts from another perspective.
Thanks!
Thank you for your observation
 
Sam, it's your view, but be informed that, the truck to be on the road might be part of the terror attack.
 
Sielewi fuel tankers haziruhusiwi main road Nairobi Naivasha? Njia ya zamani bondeni ndio inapaswa kutumiwa na magari ya mizigo?
 
Sam, it's your view, but be informed that, the truck to be on the road might be part of the terror attack.

And I give kudos to Kenya, being on the immediate frontier, fighting ISIS(Al Shabab morphed into ISIS when ISIS fighters arrived in Somalia),with a vast border between Kenya and Somalia, and the same ethnic group(Somalis) inhabiting and spanning both areas of Kenya,Somalia and Ethiopia, in millions of numbers/same clans,same language,free movement and reduced incidences of attacks.
Even tourism as rebounded and caught on...mmmh!..... such a fete/ an achievement.
Bottom line is this situation was a blessing in disguise...the amount of experience,machinery,intelligence cooperation,hardware,information,combat experience etc gained s humongous.
Kenya has moved up to another level in modern tactical warfare (modern warfare is terrorism not conventional)
 
Thank you for your observation

I don't need your thanks, you might be as well celebrating inside your heart!, everyone for himself ,God for us all.
Nyie nilisha wasoma kwa UNAFIQ wenyu.
Mtu anakuchekea usoni ndani moyoni wivu na chuki, afadhali anayesema yaliyomo ndani kinagaubaga.
 
Poleni sana majirani, jaribuni kuangalia kama kuna uhusiano na ugaidi.
hahahahahaha....ila kweli hawa jamaa wamezidi kuzingizia matatzo yao raia wa somalia wakiita ugaidi!,ngoja waje wakwambie driver alikuwa fully equiped na mabomu,visu,mapanga!
 
Mnamiliki chuo sana
 
hahahahahaha....ila kweli hawa jamaa wamezidi kuzingizia matatzo yao raia wa somalia wakiita ugaidi!,ngoja waje wakwambie driver alikuwa fully equiped na mabomu,visu,mapanga!
Wanazingua chuki sana hawa watu bro
 


Na bado mpaka Uchaguzi 2017 upite mtachomana sana moto!
 
Rest in peace for those who lost there lives hakika kifo ni njia ya kila mtu na hatujui ni aina ya kifo kipi utakacho kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…