Oil Tanker loses Control and Crushes into 5 cars before Exploding in Naivasha, 40 feared Dead

Heee? Imekuwa ugomvi mkuu? Anyway, hapa tz kule mtwara kusini mwa tanzania na mpakani mwa Tanzania na Musumbiji, bweni la wasichana limeungua, watu wasioona mbali wanadhani ni shot ya umeme lkn wanaoona mbali wanalichukua kwa tahadhari, kwani mabweni kadhaa yameungua moto viashiria vya ugaidi vipo.

Ndio maana nikubali comment yako baada ya sam kumtukana aliyemtaka kutolaum polisi kwa kuiruhusu gari kupita usiku usiku, huenda ni sehemu ya mkakati wa ugaidi.

Ugaidi una sura nyingi sana, unaweza ona kitu cha kawaida lkn kumbe kimefanikishwa na magaidi
 
Poleni sana majeruhi wote, afya zenu zirudi kwenye hali ya ukawaida haraka. Mungu awerehemu marehemu wote na kuwaweka pema peponi. Watanzania tuna somo la kujifunza hapa kwamba hazardous materials zisafirishwe kwa njia ya reli pale penye reli na sio kila kona ya nchi hii malori ndio usafiri bila sababu. Tuna TAZARA, TRL, ni uzembe tupeleke mafuta kwenye mikoa kwa kutumia malori ya mafuta sehemu ambako zinapita reli halafu likitokea tukio kama hili tuliite AJALI!!!!
 
Dark day for my country Kenya, watching news with a heavy heart, very sad indeed. So many children have been rendered orphans today.
 
Poleni sana majirani. Lawama kwa serikali???? Hapana...
 
Na bado mpaka Uchaguzi 2017 upite mtachomana sana moto!

Dua la kuku halimpati mwewe,

Hilo litawapata watanzania,Mungu halali!
May the universe reverse this and send it back to you and your people hundred folds, let Karma ,nature and God see to this...AMEN!!
 
Report yakizungu sasa comments kiswahili....poleni kwa ajali....poleni sana majirani!!
 
Among the burnt vehicles was a pick-up truck carrying administration police officers that was heading to Nairobi. Three of them are among the dead. Eight magazines of the guns they were carrying were recovered.
11 OUT of the 33 dead in Naivasha officers from the GSU Recce unit which protects President Kenyatta and VIPs, State House confirms.
 
Na bado mpaka Uchaguzi 2017 upite mtachomana sana moto!
Ur are pathetic ....

Its a pity using this thread to score ugly points

Go read a thread on how kenyans behaved when bukoba earthquake occured

U tanzanians are too petty
 
Dua la kuku halimpati mwewe,

Hilo litawapata watanzania,Mungu halali!
May the universe reverse this and send it back to you and your people hundred folds, let Karma ,nature and God see to this...AMEN!!
Mungu Halali indeed

Hzo comments za geza na barbarosa za kuscore cheap petty points will comeback and in a big way!!
 
Ur are pathetic ....

Its a pity using this thread to score ugly points

Go read a thread on how kenyans behaved when bukoba earthquake occured

U tanzanians are too petty

Rudia hii post kama ukipenda baada ya miezi 6 au mwaka labda utaelewa ninachomaanisha, Bukoba ilikuwa nje ya uwezo wa Binadamu!
 
Rudia hii post kama ukipenda baada ya miezi 6 au mwaka labda utaelewa ninachomaanisha, Bukoba ilikuwa nje ya uwezo wa Binadamu!

Wajidai sana unamjua Mungu!....tuelezee leo hii mwenye uelewa kamili wa ukuu wake,...nani nwenye ujasiri?...weye?
Tuambie leo hii.
Umewaombea upweke na maangamizo wanadamu kama wewe, tunataka kuona uwezo wako dhidhi ya Mungu!
Eeh Mungu uishie milele, kama jinsi usikiavyo uwajibu kwa adhabu kali wenye chuki na nia ovu juu ya wenzao, Amina!
 
Amina!
 
20 Dead in Egypt this morning

160 dead in Nigeria

Deathtoll in Turkey now 39

40 Gone in Kenya

This weekend has been another one

Rudia hii post kama ukipenda baada ya miezi 6 au mwaka labda utaelewa ninachomaanisha, Bukoba ilikuwa nje ya uwezo wa Binadamu!
Na hyo tanker ilikuwa kwa uwezo wa binadamu??? Smh!

Mungu halali ....utakipata kinacho kujia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…