Ni vizuri sana kama watu wanakiri wizi wao.Serikali ya Tanzania sasa inapaswa kumpeleka Rais Mtaafu Mkapa na Waziri wake wa Nishati na Madini katika mahakama ya UN yaliopo Dodoma kwa wizi wa mgodi wa Kiwira. Mkapa na Yona waliibia Taifa la Tanzania mgodi huo wakati yeye mwenyewe Mkapa ikiwa ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania.