Oil ya gear box inavuja

Oil ya gear box inavuja

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
189
Hello wakuu habari zenu...
Nimepata changamoto ya oil ya gear box kuvuja...sio kwenye sample...ni inatoka kwa juu kwenye drive shaft...nilienda garage, fundi akasema ni oil seal imekufa...akaitoa, tukaibadilisha...tukaweka mpya...bado inavuja...
Naamini hapa nitapata wajuzi zaidi...shida itakuwa ni nini hasa???
Naomba kuwasilisha...gari ni Carina Si, mnyama!
 
Kuna magari naendesha sijui kama kwenye gear box inatumia oil.
 
Back
Top Bottom