OJ arejea Bongo

Huyu jamaa nimemwona asubuhi ya leo akiwa ndani ya Prado inayoendeshwa na mtu mwingine pale Kona karibu na Bahama mama naye akisoma Gazeti la Mwananchi!!!!!
 
ni kweli amemaliza kifungo huwa anaonekana maeneo ya mlimani city

Kamongo, unayemuona maeneo ya mlimani city siyo OJ- ni kaka yake wanafanana sana. Anafanya kazi maeneo hayo ya mlimani city. But yeye, ni wahapahapa.
 
Weka picha yake.........!
huyu bwana alikuwa na ushamba wa kibongo.. make mambo aliyoyafanya mpaka ifikie kukamatwa yalikuwa ya kitoto mno. kanunua Jaguar mpya mbili kwa mpigo hafafu katangaza kwenye website.. kuonyesha picha za hizo gari. FBI kwanini wasianze kumfatilia, kazi yake haiweze kumpa pesa ya kununua hizo gari. halafu hajachukua mkopo sehemu yoyote.
wakamuwekeya mtego kidogo kanaswa na kundi lake lote.. Ulimbukeni wa kibongo.. wanapofika majuu.nakujifanya wenyeji.
ndo hicho kilicho mwingiza lupango wazee..
Ila kama karudi basi ashukuru mungu sisi bado tunaendelea kubeba boxes.
 

Na shule ndogo inachangia.
 
rastaman hivi unaandika tu au unajua unachosema achana na maneno ya mitaani,i know the dude hakuwahi kumiliki jaguar ever !! mwacheni oj apumzike aendelee na maisha yake !
 
Mwenye Jaguar ni yule mwingine aliye kua na yule mtoto mzuri aliye mkamata toka Chicago bwana! ye e ndiye alijaza ma picha kwnye Hi5 enzi hizo kuonyesha matanuzi ya kufa mtu!

Acheni vijana waibe kwani sindio culture yetu, mababa kibao Bongo waniba kodi ,itakua huyu anaibia wazungu ?.
 
Duh kumbe DJ Othman Njaidi kakutwa na balaa.

Jamaa namkumbuka alikuwa mkali sana wa bolingo kwa kuzicheza redioni na kwenye dance floor. Kuna huu wimbo wa Madilu System alikuwa anaupenda sana ikifika hapo at 5:20 anayarudi kinoma.

Madilu Systeme - Sa Majeste - YouTube
 
Nlisikia alikua kwenye soo la issue flani za computer,
Sijui kama liliishaga lile soo
 
Mkuu UMEUA kabisaa! Ila kwa utamaduni wetu, ... tunamkaribisha sana, 'tulijenge' Taifa - kama tutalijenga kwa kwenda mbele au kurudi nyuma, hiyo ni ishu tofauti.
 
Huyu jamaa ni **** sanaaaa, na yule demu wake ambaye zamani alikuwaga redio tumaini amemlia mali zake kama hana akili nzuri na baada ya jamaa kufungwa demu kaibuka na dume jingine wanakula zao raha huko marekani hana time tena na OJ wenzake wamebaki wanajilia kule. ulimbukeni mbaya sana jamani halafu huyu jamaa alisahau kuwekeza hapa kwao, matokeo yake sasa amerudi from hero to zero. Pole zake lakini ndio maisha ajifunze sasana jela ya marekani atakuwa amejifunza ila sijui kama hawakula kiboga
 
Bora uwe Mchizi, kuliko uwe mwizi!!

Hakufuata ushauri wake mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
ingeweka basi hata picha maana wengine jina linatupa utata labda picha tungeikumbuka
 
Samahani wadau, nauliza mnaomfahamu huyu, kuna mtu aliyefariki siku za karibuni, alifia nje ya nchi, somebody Njaidi ni ndugu yake au...............

Yule aliyefia nnje ni mdogo wake huyu hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…