GT,
From "All The Kings Men" "Man is conceived in sin and born in corruption, and he passeth from the stink of the dydie to the stench of the shroud,"
Nionyeshe mtu anayesema hana ufisadi na mimi nitakuonyesha muongo.
Huyo Mengi ana mikopo kibao kachikichia, kodi kibao ka-manouvre.
We got to be very careful guys , Mikopo sio ufisadi ambao tutaka kuuchanganya Real Ufisadi, kuna taratibu za mtu binafsi kuchukua mikopo kwenye Financial Institutions na kuna hatua zinazochukuliwa na hizi institutions kama mdaiwa atashidwa kurudisha ama atakataa, sasa Real ufisadi ambao we have to worry first in my opinion na wa watu wanaokabithiwa thamana na umma (serikali) then wanatunia nafasi hiyo kujinifaisha kwa kukufuru kwa expense za umma (Richimond etc) bila huruma, wanakuja na mbinu ya kulipambanua word fisadi mpaka, mkomba mboga wanataka to be hold to thier standard ,Guys chambueni Pumba na mchele hasa kipindi hiki.