sylvesterleonce
Member
- Oct 12, 2010
- 29
- 0
hali ya taifa ni tete ole kwa wote wanaotaka kuufisadi uchaguzi na kuwagawa watanzania aidha kwa ukabila au dini hata kutangaza mshindi aliyeshindwa (the hague inaita) mtajulikana kwa majina acheni tule visamvu vyetu kwa utulivyu!...