Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Ila naewelewa kwanini kakimbia, uki acha maumivu ya kufungwa,Nilikuwa namwambia dogo mmoja hapa OKC wanashinda game hii.
Na kweli. Dogo kakimbia hata hakumaliza game kwa uchungu.
Hamna, mimi hata sina hizo. OKC wenyewe wala si timu yangu, nilitabiri tu.Ila naewelewa kwanini kakimbia, uki acha maumivu ya kufungwa,
Maana huenda ali leta ubishi mkubwa, uka subiri game iishe Ili uka kanyage kudadadeki,
akaona hapa amesha yatimba, na Cha kufia nini 😂😂
Ni muda umepita hatukushuhudia fainali hizi zikifika game 7Hongera sana kwa OKC
Dogo sio mvumilivu kabisa🤣🤣🤣🤣Hamna, mimi hata sina hizo. OKC wenyewe wala si timu yangu, nilitabiri tu.
Dogo ni kawaida yake akiona mechi inaenda kushoto anakimbia 🤣🤣🤣.
Robo ya tatu hajaimaliza aliona tu upepo unapeleka jahazi mrama.Dogo sio mvumilivu kabisa🤣🤣🤣🤣