Poz bizo swaxter Member Joined Feb 27, 2013 Posts 46 Reaction score 3 Jul 24, 2014 #1 wapendwa miche ya chainizi spinach ina pandwa baada ya mda gani tangu zilipo siwa?
G Gonde Nkaka Member Joined Jul 17, 2014 Posts 50 Reaction score 48 Jul 27, 2014 #2 Wiki tatu hadi nne kwa Chinese cabbage na spinach yaweza fika hadi wiki 6. Inategemee hali ya hewa,rutuba na ulivyoandaa kitalu
Wiki tatu hadi nne kwa Chinese cabbage na spinach yaweza fika hadi wiki 6. Inategemee hali ya hewa,rutuba na ulivyoandaa kitalu