Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa

Kadodo1

Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
25
Reaction score
24
Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame pamoja na uharibifu wa mfumo wa ikolojia.

#KizimKaziImeitika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…