Okoa mimea Asili

Lemaemmanuel

Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
18
Reaction score
28

Kiswahili kizuri unaitwa mchunga ila sisi watu wa Iringa tunaita "Mkalifya " nyie kwenu mnaitaje?

Na ule uchungu uchungu ndio utamu wake! Kama huli anza kula maana ni dawa mwilini, mchunga husawazisha shinikizo la damu(BP) kuzuia hatari ya kifo na hata kuzimia #okoamimeayaasili.
 
Kwetu unaitwa '' usunga'' /ntaghe aa munyangaa
Ushajua kwetu wapi ??
Tia like kama umepaelewa kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…